WILLIAN APATA URAIA WA UINGEREZA
Mchezaji wa klabu ya Chelsea Willian Borges amesema amefaulu mtihani wa Uraia wa Uingereza baada ya kufeli miwili aliyofanya awali, na sasa amepata Uraia wa Uingereza Mbrazil huyo,31,amebakisha muda wa miezi sita katika mkataba wake na klabu ya Chelsea lakini yeye pamoja na familia yake wanataka kuendelea kuishi London “Kama utamuuliza mke wangu kama anataka …