SERIE A WAMEIADHIBU INTER MILAN KISA KOULIBALY
Siku ya kusherekea kufungua zawadi (Boxing Day) Ligi Kuu ya nchini Italia iliendelea kama kawaida kwa michezo mbalimbali kuchezwa nchini Italia lakini kubwa ni matukio yaliojitokeza katika mchezo wa Napoli dhidi ya Inter Milan uliyochezwa katika uwanja wa Sansiro. Mchezo huo uliomalizika kwa Napoli kupoteza kwa bao 1-0, kulitokea kitendo cha ubaguzi wa rangi kwa …