Mkenya Nam ajiunga na Vipers
Mabingwa wa Uganda Vipers wamemteua Mkenya Michael Nam Ouma kama kocha mshikilizi baada ya Javier Espinoza kupigwa kalamu. Espinoza alifutwa kazi siku ya jumamosi na sasa Nam ambaye ni kocha wa zamani wa timu ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka kumi na saba ataiongoza timu hiyo kwa muda. “Kocha wetu mpya ni Mkenya …