AMRI SAID KAHAMIA UPANDE WA PILI, MWAKA MPYAA
Aliyekuwa kocha wa timu ya Mbao FC Amri Said ameonesha kuamua kuanza mwaka mpya na mambo mapya baada ya kuamua kusaini na timu mpya hiyo ikiwa ni wiki chache zimepita toka atangaze kuachana na Mbao FC kwa kile kinachoitwa majungu. Amri Said jana amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ya kukinoa kikosi cha Biashara United ya …