KOMPANY ANA AAMINI GUARDIOLA HAWEZA KUCHEZA KAMALI NA KUMPANGA KEVIN DE BRUYNE
Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany bado anaamini kuwa kocha wake Pep Guardiola hatokubali kucheza kamari ya kumchezesha Kevid De Bruyne katika mchezo wa leo usiku wa Manchester City watakapoikaribisha Liverpool katika uwanja wao wa Etihad. Kevin De Bruyne aliikosa safari ya Manchester City siku ya Jumapili kwenda kuwavaa Southampton kutokana na kutokuwa fiti kwa …