LOUIS VAN GAAL KAIPA LIVERPOOL UBINGWA WA UINGEREZA
Pamoja na kuwa timu ya Liverpool hivi karibuni ilipoteza katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad kwa mabao 2-1, kocha wa zamani wa Manchester United Louis van Gaaal ametabiri kuwa timu hiyo ndio bora na itatwaa Ubingwa wa Uingereza dhidi ya Manchester City msimu huu. …