“Pogba alistahili kadi nyekundu “- Souness
Mkongwe wa zamani wa timu za Tottenham na Liverpool Graeme Souness amekuwa mkali na kutoa kauli nzito kuhusiana na mwamuzi wa mchezo wa Manchester United dhidi ya Tottenham Hotspur uliyochezwa jana na kumalizika kwa Manchester United kupata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Marcus Rashford dakika ya 44 ya mchezo. Graeme Souness amekasirishwa na uchezeshwaji …