Herieter Makambo arejea jijini Dar es Salaam
Leo alfajiri mchezaji wake raia wa Congo DR Herieter Makambo ambaye juzi ulivuma uvumi wa kuitoroka klabu ya Yanga, aliwasili jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa klabu ya Yanga katika uwanja wa kimataifa wa Mwl. JK Nyerere.