MWANDISHI ALIYEGUNDUA RUSHWA KATIKA SOKA LA GHANA KAUWAWA
Kutoka nchini Ghana leo zimeripotiwa taarifa za kuuwawa kwa risasi kwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi Ahmed Hussein Suale kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana, tayari polisi nchini Ghana wameripoti kuwa uchunguzi wa mauaji ya mwandishi huyo umeanza mara moja. Ahmed Hussein ambaye mwaka jana aliteka vichwa vya habari katika soka la Afrika baada ya …