Polisi watangaza kuhitimisha msako wa Emiliano Sala
Mamlaka ya polisi ya Guernsey iliyokuwa inahusika na kutafuta ndege iliyopotea na mshambuliaji wa Cardiff Emiliano Sala imetangaza kufikia tamati ya msako huo. Kazi hiyo ya kumtafuta mchezaji huyo na rubani ulianza tangu jumatatu jioni ndege hiyo ilipopotea na kufikia tamati leo alhamisi mchana bila mafanikio yoyote. Taarifa kutoka kwa Captain David Barker iliyotolewa …