Kante kudhamini kutafutwa kwa Sala
Taarifa inayoendelea kuumiza watu wa dunia ya soka kwa sasa ni kuhusiana na mshambuliaji wa kiargentina aliyesajiliwa Cardiffi kutokea Nantes ya nchini Ufaransa Emiliano Sala kupotea akiwa kwenye ndege na rubani wake,imebaki kuhisiwa tu kuwa ndege waliyokuwa Emiliano Sala na rubani wake itakuwa ilipata ajali. Habari hizo hazijathibitika na kikosi kazi cha uokoaji jana kilitangaza …