Hatimaye Solskjaer aonja ugumu wa EPL Man United
Mara nyingi wanaoitaja Ligi Kuu nchini England kuwa bora barani Ulaya zaidi ya Ligi nyingine ni kutokana na Ligi hiyo kuwa na ushindani mkubwa ukilinganisha na Ligi nyingine Ulaya, Uingereza pekee ndio Ligi ambayo huwezi kujua Bingwa nani hadi imalizike au kabla ya mechi tatu kabla ya Ligi kuisha wakati Ligi nyingine ni rahisi mwezi …