Solskjaer aenda France kuwachunguza PSG
Dakika 20 baada ya mchezo wa Man United na Leicester kumalizika katika uwanja wa King Power, kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer alipanda ndege kwenda nchini France kuangalia mechi ya PSG dhidi ya Lyon. Mechi hiyo iliisha kwa PSG kupoteza kwa goli 2-1 wakiwa ugenini. Man United watacheza na PSG jumanne ijayo Old Trafford …