TFF YAMPIGA FAINI KOCHA WA AZAM FC
Mechi namba 260: Azam FC 2 VS Simba SC 3Kocha wa Klabu ya Azam FC Aristica Cioba ametozwa Faini ya kiasi cha Tsh.500,000/=(Laki Tano) kwa kosa la kugoma kuongea na waandishi wa habari mara baada ya mchezo kumalizika, huku Simba ikipata ushindi wa 3-2.Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni namba 41(12) ya Ligi Kuu kuhusu …