OLE GUNNAR SOLSKJAER KWENYE KAINGIA KWENYE REKODI WALIZOZISHINDWA VAN GAAL, MOYES NA MOURINHO
Kocha wa mpito wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kuna uwezekano mkubwa akapewekijiti jumla cha kuiongoza klabu ya Manchester United mwisho wa msimu, baada ya kuendelea kuoneshakiwango kizuri akiwa na timu hiyo na kama mabosiwake wakijiridhisha na uwezo wa kocha huyo wanawezakumpa ajira ya kudumu. Ole Gunnar Solskjaer amabye aliingia Manchester United kama kocha wa muda kumrithi Jose Mourinhoambaye kibarua chake kiliota mbawa Old Trafford, Ole Gunnar Solsjaer mwenzake pamoja na kukaa mudamfupi ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi Januariwa Ligi Kuu ya nchini Uingereza na kuweka rekodi yakipekee. Baada ya Ole Gunnar Solskjar kutangazwa kuwa kochabora wa mwezi Januri wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza, anaingia katika vitabu vya kumbukumbu ambavyomakocha walipita baada ya Sir Alex Ferguson wameshindwa kuifikia, Ole Gunnar Solskajer anakuwakocha wa kwanza wa Manchester United kushinda tuzohiyo baada ya utawala wa Sir Alex Ferguson kumalizika. Sir Alex Ferguson aliyedumu na Manchester United kwamiaka 27 toka alipojiunga nayo 1986 na kustaafu, Manchester United baada ya kustaafu kwake haikuwahikupata kocha aliyeshinda tuzo ya mwezi zaidi yaSolskjaer, baada ya Ferguson waliopita walikuwa David Moyes (2013-2014), Louis van Gaal (2014-2016) na Jose Mourinho (2016-2018)