Jerry Murro awaomba radhi Yanga
Mkuu wa wilaya ya Arumeru na afisa habari wa zamani wa Yanga Jerry Muro kutokana na kauli nzito na kudaiwa za kuwavunjia heshima wachezaji wa Yanga na kocha wao, ameamua kuomba radhi hadharani kupitia ukurasa wak wa instagram, hiyo ikiwa ni siku moja imepita toka aitamke kauli hiyo. “Niwaombe Radhi,wanachama, mashabiki wote wa @yangasc waliokerwa …