Mnyama aanza safari ya kuwawinda Wanapaluhengo
Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Azam FC na kuibuka na ushindi wa goli 3-1 kikosi cha Simba SC kimeanza safari ya kuelekea mkoni Iringa kwaajili ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa februari 26 mwaka huu (juma nne) Meneja wa Klabu hiyo Patrick Rweyemamu amesema kuwa kikosi kinaondoka leo jijini Dar es …