Mnyama kuwafuata Waarabu kesho
Baada ya kurejea Leo Jijini Dar es Salaam kutokea mkoani Shinyanga kilikokuwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, Kikosi cha Simba kinatarajia kuanza safari kesho ya kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya JS Saoura. Mchezo huo utakaowakutanisha Mabingwa hao utachezwa machi 9 mwaka huu nchini Algeria. #Worldsports14 imemtafuta …