MATUIDI AAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
Klabu ya Juventus ya nchini Italia imethibitisha mchezaji wao wa pili Blaise Matuidi ambaye ni raia wa Ufaransa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Matuidi tayari amejitenga nyumbani kwake wakati huu afya yake ikifutiliwa kwa karibu lakini huyo anakuwa mchezaji wa pili wa Juventus kupata maambukizi ya virusi vya corona baada ya Daniel Rugani, …