Wacongo kuchezesha mechi ya Simba
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limewatangaza waamuzi kutoka nchini DR Congo kusimamia sheria 17 katika mtanange wa JS Saoura dhidi ya Simba utakaochezwa Machi 9 mwaka huu jumamosi, mishale ya saa nne usiku kwa saa za Afrika mashariki. Waamuzi hao ni Jean-Jacques Ndala Ngambo atakayepuliza kipyenga kutoka Congo na mshika kibendera namba moja Olivier …