Dembele ni bora kuliko Neymar
Moja kati ya habari ambayo iliwahi kuwaumiza mashabiki wa timu ya FC Barcelona na uongozi wao ni taarifa za aliyekuwa mshambuliaji wao Neymar kulazimisha uhamisho wa kuondoka FC Barcelona na kujiunga na timu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa. Baada ya matakwa ya Neymar kutimia ya kuihama klabu hiyo kwa kile kilichodaiwa na wengi …