Bado ninamkataba na JKT Tanzania – Bakari Shime
Kocha Mkuu wa JKT Bakari Shime, aelezea nini kinaendelea kati yake na Uongozi wa JKT Tanzania kupitia Radio ya EFM “Walinisimamisha kazi kwa muda, lakini bado nina mkataba na JKT Tanzania japo wao wametangaza kunisimamisha mimi kazi na naendelea kusubiri maamuzi yao” Kocha mkuu wa JKT Tanzania Bakari Shime, baada ya taarifa ya kusimamishwa kazi …