“TUMEKUJA NA JESHI LETU KAMILI KUWAKABILI LIPULI FC” CANNAVARO
Baada ya kuwasili salama mkoani Iringa, Kikosi cha Yanga SC kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wake dhidi ya Lipuli FC. Meneja wa Klabu hiyo Haroub Cannavaro amesema kuwa wameenda mkoani Iringa na jeshi kamili kwaajili ya kuwakabiri Lipuli hapo kesho. …