Yussuf Poulsen anataraji kupata mtoto wa kiume
Ni siku nne zimepita tokea mchezaji wa kimataifa wa Denmark mwenye asili ya Tanzania anayeitumikia klabu ya RB Leipzig ya nchini Ujerumani Yussuf Poulsen atangaze kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kuitumikia RB Leipzig. Poulsen ameendeleza kutoa habari njema kwa kila mtu anayemfuatilia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, Yussuf Poulsen ametangaza …