Mane amzuia Koulibaly kwenda Man United
Nyota wa kimataifa wa Senegal na klabu ya Liverpool ya nchini England Sadio Mane ameshindwa kuficha hisia zake kwa kuonesha kuwa asingependa kuona mchezaji mwenzake na ndugu yake wa Taifa moja Kalidou Koulibaly anajiunga na klabu ya Manchester United. Sadio Mane akiwa katika majukumu ya kimataifa na timu yake ya taifa ya Senegal, aliona bango …