Okwi kujiunga na Simba leo Morogoro
Baada ya kuwasili Jijini Dar es Salaam akitokea katika majukumu ya timu yake ya Taifa ya nchini Uganda ‘the Crane’s’,Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC Emmanuel Okwii atajiunga leo na wachezaji wenzie waliopo Morogoro. Meneja wa Klabu hiyo Patrick Rweyemamu amesema kuwa Okwi tayari yupo jijini Dar es Salaam na leo ataelekea mjini Morogoro kujiunga …