Shabiki wa Simba aliyetembea kutoka Mbeya mpaka Dar kupelekwa Lubumbashi
Shabiki wa Klabu ya Simba SC Ramadhan Mohamed aliyetembea kwa miguu kuanzia Machi 26 mwaka huu mpaka April 3 na umbali wa Km 820, kutoka jijini Mbeya mpaka Dar es Salaam kwa miguu ili ashuhudie mchezo wa robo fainali wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, leo amekutana na viongozi, wajumbe wa Bodi ya …