MORRISON AMWAGA WINO YANGA, SIMBA NDIO BASI TENA
Mshambuliaji wa Yanga SC Bernald Morrison leo amethitishwa rasmi kusaini mkataba moya wa miak miwili wa kuendelea kuitumikia Yanga SC. Morrison aliyewasili Yanga SC katika kipindi cha dirisha dogo la January inadaiwa kuwa alipewa mkataba wa muda mfupi Yanga ili waweze kujiridhisha na uwezo wake kwa sababu alikuwa hana timu. Yanga inadaiwa kuwa wamefanya haraka …