Wawa kuwakosa TP Mazembe
Beki wa kati wa Klabu ya Simba Pascal Wawa atawakosa TP Mazembe kwenye mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika utakaochezwa April 13 mwaka huu Lubumbashi nchini Congo kutokana na kuwa majeruhi. Wawa alipata maumivu kwenye misuli ya paja katika mchezo wa awali uliowakutanisha Simba na Tp Mazembe April 6 kwenye Uwanja wa Taifa jijini …