Yondani na Fei Toto kuwakosa Mtibwa kesho
Mlinzi wa Yanga Kelvin Yondani na Kiungo Feisal Salum hawatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa saa 8.00 mchana kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Yondani alipata kadi nyekundu kwenye mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar, Feisal Salum ana kadi tatu za njano ,hivyo wote wanatumikia adhabu …