Rashford avujisha mbinu za Solskjaer kwa Barca
Picha za video zimemnasa mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford akifanya uzembe wakati wa mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Barcelona iliyomalizika kwa Barcelona kuondoka na ushindi wa mabao 3-0 katika dimba lao la Camp Nou. Rashford kuna wakati mchezo huo ukiendelea aliitwa na kocha wake Ole Gunnar Solskjaer …