Taifa Stars uso kwa uso na Mo Salah
Baada ya kufuzu kucheza fainali za AFCON 2019, timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa stars” inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa Kimataifa na Timu ya Taifa ya Misri. Mchezo huo utachezwa Juni 13 mwaka huu mjini Bourg Al Arab Misri ukiwa ni sehemu ya maandalizi ya kucheza Fainali za Mataifa Afrika ambazo zitachezwa huko huko …