Klopp ampa heshima Lionel Messi mbele ya Pele
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ameeleza dhamira yake ya kumaliza ndoto za Lionel Messi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa May 1 huku akiwaambia wachezaji wake kuwa lazima wawe na tahadhari na wakubali kuhangaika. Klopp kasema hivyo akiwa na maana ya kutaka kuwaondoa Barcelona na kuzima ndoto ya nahodha wa FC Barcelona …