Chelsea na Arsenal wafanyiwa ukatili fainali Europa League
Baada ya michezo ya Europa League kumalizika usiku wa Mei 9 2019 na kujua kuwa sasa fainali Mei 29 itakuwa inazikutanisha timu za England za Chelsea na Arsenal zikiwa zinatokea jiji moja la London, utaratibu wa mashabiki wao kupata tiketi umetangazwa rasmi. . UEFA wametangaza kuwa kuelekea mchezo huo wa fainali utakaochezwa nchi Azerbaijan katika …