Zaha kuondoka Crystal Palace
Nyota wa kimataifa wa Ivory Coast anayeitumikiaCrystal Palace ya nchini England Wilfred Zahaameripotiwa na dailymail kuwa yupo mbioni kuondokaCrystal Palace Zaha (26) shauku yake ya kutaka kuondoka Crystal Palace ni kwa sababu anataka kwenda katika klabuambayo inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulayaikiwa hiyo ndio moja kati ya ndoto zake kuchezamichuano hiyo. Mchezaji huyo tayari mapema wiki hii ameshakaa nakukutana na mwenyekiti wa klabu hiyo Steve Parish nakumueleza dhamira yake hiyo ila Crystal Palace indaiwahawatotaka kumuachia hadi walipwe pauni milioni 80, hadi sasa Zaha ndio mchezaji anayelipwa mshaharamkubwa Crystal Palace pauni 130000 ila anatakakuihama klabu hiyo iliyomlea na kwenda kutafuta mataji.