Unai Emery afichua ugumu wa maisha yake ya Paris
Moja ya mitihani mikubwa wanayokumbana nayo makocha na wachezaji wanapoamua kutoka katika maisha yao ya soka katika nchi zao na kwenda kutafuta maisha katika mataifa mengine ni suala la lugha, wachache sana ambao wamekuwa na umahiri wa kuzungumza lugha zaidi ya moja. Kocha wa sasa wa Arsenal Unai Emery ameweka wazi kuwa amewahi kukumbana na …