Platini atolewa mahabusu
Aliyekuwa Rais wa UEFA Michel Platini ambaye alikamatwa jana, ameachiliwa na Polisi wa Ufaransa leo Jumatano mapema asubuhi baada ya kuhojiwa kwa muda wa saa 15. Platini,63, alikamatwa jana na kuwekwa chini ya ulinzi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kupokea rushwa na kuipa Qatar nafasi ya uenyeji wa kombe la Dunia Mwaka 2022. Baada …