Lionel Messi agoma kuchukua Medali Copa America 2019
Baada ya Argentina kushinda mechi ya mshindi wa tatu katika Copa America 2019 dhidi ya Chile hapo jana, nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi hakuungana na timu yake katika jukwaa la kuchukua medali za ushindi huo. . Katika mchezo huo Lionel Messi alipata kadi nyekundu katika dakika ya 38 kufuatia ugomvi kati …