Mbwa wa Sturridge apatikana Los Angels
Mbwa wa Daniel Sturridge aliyeibwa jana nyumbani kwa mchezaji huyo Los Angels,Marekani amepatikana leo jumatano, Polisi wa LA wamethibitisha. Sturridge alitoa ofa ya Pauni 30,000 (Tsh Milioni 86) kwa ambaye ataweza kumpata mbwa wake. Polisi wanadai kuwa hawaamini watu hao waliomrudisha ndio waliohusika na tukio la kuvunja nyumba ya mchezaji huyo na kumuiba mbwa huyo …