Icardi aondoka kambini Inter Milan
Mshambuliaji Mauro Icardi hatosafiri na klabu ya Inter kwenda Asia baada ya kuondoka kambini kwa makubaliano yake na timu hiyo. Jana Jumamosi klabu ya Inter kupitia mtandao wao wa twita walitoa taarifa ya mshambuliaji huyo kurejea Milan akitokea katika kambi ya timu hiyo Switzerland na hivyo hatakuwa na kikosi chao kinachoenda Asia kwa ajili ya …