AMISSI TAMBWE AKIRI KUIMISS VPL
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC na Yanga SC Amissi Tambwe akiongea kwa njia ya simu na Azam TV mara baada ya hivi karibuni kuonekana jijini Dar es Salaam akiangalia Derby ya Simba na Yanga. Leo ameeleza ni kitu gani anakumbuka katika soka la Tanzania hususani wakati akicheza Simba na Yanga SC, Tambwe aeleza kwa …