Solskjaer awatoa hofu Mashabiki Man United
Dirisha la usajili Ligi Kuu England linafungwa Agosti 8 siku tatu kabla ya Manchester United hawajacheza mchezo wao wa kwanza wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya England 2019/2020 lakini bado mashabiki hawajaona jina kubwa likitua katika kikosi chao. Kocha mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amewatoa hofu mashabiki wa Manchester United na kueleza …