Wapinzani wa Yanga wamekuja kwa kujipanga
Klabu ya Township Rollers ya Botswana imewasili jijini Dar es salaam, Tanzania jana usiku tayari kwa mchezo wao wa raundi ya awali Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Yanga utakaopigwa kesho Agosti 10 uwanja wa Taifa. Baada ya kuwasili Dar es salaam,timu hiyo ilifanya kikao pamoja na kuangalia video mbalimbali za michezo ya wapinzani wao, Yanga …