MAN CITY WAPONEA RUNGU LA ADHABU YA USAJILI TOKA FIFA
Uongozi wa Manchester City umefanikiwa kuepuka adhabu ya kufungiwa kufanya usajili licha ya kudaiwa kukiuka sheria ya usajili ya FIFA kwa kumsajili mchezaji wa kigeni aliyekuwa chini ya umri wa miaka 18. Manchester City wamefanikiwa kuepuka adhabu hiyo baada ya kukiri kutenda kosa la kukiuka sheria hiyo ya FIFA na kueleza kuwa waliitafrisi vibaya sheria …