USHINDI MMOJA NDANI YA MIEZI SABA, HUDDERSFIELD YATIMUA KOCHA
Klabu ya Huddersfield ambayo ilishuka daraja msimu uliopita kutoka Ligi Kuu ya nchini England imeamua kumtimua kocha wake Jan Siewart. Maamuzi hayo yameafikiwa usiku wa Agosti 16 2019 huku wengi wakihoji kuwa mbona wamechelewa kufanya hivyo wakidai kocha huyo alitakiwa afukuzwe kazi siku nyingi kwani haiwezekani kuiongoza timu ndani ya miezi 7 na kushinda mechi …