RONALDO AKIRI MWAKA 2018 ULIKUWA MBAYA KWAKE KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBAKAJI
Cristiano Ronaldo alikuwa na tuhuma za ubakaji, kosa ambalo anadaiwa kulitenda miaka 10 iliyopita katika mji wa Las Vegas Marekani. Tuhuma hizo zilifutiliwa mbali hivi karibuni baada ya mlalamikaji kushindwa kutoa uthibitisho wa kutosha kuhusiana na kesi hiyo. Ronaldo akihojiwa na kituo cha TV1 cha kwao Ureno ametaja tuhuma hizo ziilimfanya aone mwaka 2018 ndio …