BAADA YA MIAKA 10 AL AHLY YA MISRI WAFIKIA REKODI YA YANGA
Michezo ya awali ya kuwania kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 inaendelea na Al Ahly ya Misri wao walicheza mchezo wao wa marudiano Ijumaa hii dhidi ya Atlabara ya Sudan Kusini. Al Ahly ambaye alipata bahati ya michezo yote miwili ya nyumbani na ugenini kuchezwa kwenye taifa lake kutokana na Uwanja …