MBWANA SAMATTA ANA SIKU 55 ZA KUJIANDAA KUPAMBANA NA VAN DIJK
UEFA Alhamisi ya Agosti 29 walichezesha droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2019/2020 na kupanga makundi nane yatakayojumuisha timu nne kila Kundi. Kwa upande wa Tanzania ilikuwa inasubiria kufahamu KRC Genk ya nchini Ubelgiji inayochezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta watakuwa Kundi gani. Genk wapo Kundi E na …