LIVERPOOL WALIFURAHI KUMUUZA FERANANDO TORRES KWENDA CHELSEA 2011
Jamie Carragher amesema kuwa yeye pamoja na wachezaji wenzake wa Liverpool, walifurahi kuona Fernando Torres anaihama timu hiyo na kwenda Chelsea kwa sababu kiwango chake kilikuwa tayari kimeisha. Torres aliondoka Liverpool mwaka 2011 na kujiunga na Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 50 na kuweka rekodi mpya ya usajili nchini England na kuwa mchezaji ghali …