MARIGA KAINGIA KWENYE SIASA RASMI TUMSUBIRI NOVEMBA 7 2019
Kiungo wa zamani wa klabu ya Inter Milan na Parma za Italia raia wa Kenya McDonald Mariga ameingia rasmi kwenye ulingo wa siasa baada ya kutangazwa kama mgombea wa jimbo la Kibra nchini Kenya. Bodi ya taifa ya uchaguzi nchini Kenya (NEB) chini ya mwenyekiti wake Andrew Musangi baada ya kumuhoji na kujiridhishwa ametangazwa mgombea …